Huyu mzee kilomoni ndie watu waliozifikisha Simba na Yanga licha ya hazina kubwa ya wanachama na rasimali nyengine kuwa klabu masikini hadi kutembeza bakuli mpaka leo.Na watanzania tukiwachekea watu wa aina hii basi tujuwe tunauchekea unyonge. Ni miongoni mwa watu wanaodumaza dhamira nzuri ya uwekezaji nchini.sie Mo anaedai waraka wa Simba kama baadhi ya watu wanavyopotosha bali ni wanasimba au wanachama wa Simba ndio wanaodai waraka wao ili uwepo mahala salama na ya uwazi zaidi. Mchakato wa mabadiliko ndani ya simba uliendeshwa kiuwazi kabisa kupita kila hatua chini ya baraka ya serikali.Hakuna Mo atakachokifanya cha uficho ndani ya Simba kwani tayari serikali ilishapitisha sheria zake kama muungozo ndani ya Simba. Simba bado ni timu ya wanachama mpaka leo na kwa kuthibitsha hilo hata Mo ni nwanachama wa Simba pia kwa miaka mingi pale Simba na ni mtanzania sio kama katoka Dubai au Africa kusini. Sisi watanzania wakati mwengine kama si mara zote ni watu wa hovyo kabisa. Inawezekana kabisa huyu mzee anachotaka ni fidia au Rushwa ili autowe huo waraka.Na inawezekana huyu mzee na hao anaoshirikiana nao walishautumia au wanautumia huu waraka wa Simba kwa maslahi yao binafsi au inawezekana hata hanao tena ameshauuza au upo kwa tajiri fulani ameuwekea Bondi. Wanachama wa Simba lazima waamke kuna kitu hapa kwa huyu mzee na siri yake juu ya huu waraka.

ReplyDeleteHana lolote njaa tu kama mwenzake akili ziro
ReplyDeleteYy alizaliwa. 1936 aseme kaifikisha simba ilipo anunue kama ana pesa hana hata mia
ReplyDelete