Klabu ya Yanga inatarajia kufanya jambo kubwa ambalo litakalo wasogeza mbele kisoka na kuleta mapinduzi nchini, huku wakisema wao wamefanikiwa kwa asilimia kidogo katika kukusanya kiasi ambacho wao walikuwa wana malengo nacho cha kukusanya kiasi cha Sh Bilioni 1.5
Fedha hizo zinatarajiwa kuwasilishwa siku ya kesho Jumamosi katika ukumbi wa Daimondi Jubilee kwa uongozi mpya wa klabu hiyo ilii kuangalia nini wanatakiwa kukufanya huku zingine zikiwa zinatarajiwa kugawiwa kwa kocha mkuu Mwinyi Zahera raiya wa Kongo ambaye ndiyo kocha anakinowa kikosi hicho kwa hivi sasa.
yani hii page waandishi wake ni wa mtaani kabisa sasa bilioni tano na laki tano ndo sawa na 1.5?
ReplyDeletebilioni moja na milioni tano ni sawa na 1.5 bilion?
ReplyDeleteHesabu sio rafiki kwa waandishi wa habari wengi ndio maana wapo sekta hiyo
ReplyDelete