June 12, 2019

11 COMMENTS:

  1. Utaona hapo jinsi gani Amunike na benchi lake la ufundi linavyoendekeza bifu la kipumbavu zidi ya Abdi Banda. Beki wa lipuli Ally Mtoni ni beki mzuri unaweza kusema anaechipukia zidi ya Abdi Banda beki mzoefu anewaniwa zidi ya timu kama kaiserchief ya Africa kusini. Utaona jinsi gani kajikasababu cha nidhamu kinavyotumika vibaya kama kisingizio cha kuendeleza visasi zidi ya timu yetu ya Taifa . Mfanao Kevin Yondani aumie au hata agrey morisi zidi ya Senegal au Algeria halafu kiufundi kabisa nani mtu sahihi wa kuingia kwenda kuziba pengo lilowachwa uwanjani? Jibu mnalo wenyewe watanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tuliza boli heshimu maamuzi ya kocha!!

      Delete
    2. We unajua mpra au we ndo kocha who z Abdi Banda

      Delete
  2. Kiraka kwa maana tayari kuna tatizo hapo ndio maana panatiwa kiraka wakati uwezo wa kuwa na kitu kamilifu upo.

    ReplyDelete
  3. Banda akitangaza kujiengua Taifa stars kwa sasa siwezi kumshangaa.

    ReplyDelete
  4. Kwa hiyo beki chipukizi atolewe au ulikuwepo kwenye mazoezi ya mwisho huko Misri? Mbona unatoa majibu ambayo siyo sahihi au malalamiko yasiyo ya maana?

    ReplyDelete
  5. Mbona Mkude, Ajibu, Kapombe, Kilunda na Kichuya nao wameachwa? Kwa hiyo kocha Amunike yeye anajua kuunda kikosi chake, sioni shida hapo.

    ReplyDelete
  6. Kikosi cha Senegali hatari jamaa hawana anaechezea Africa na hata hizo timu wanazotoka huko ulaya si mchezo nawatabiria makubwa Misri. Taifa stars ipo kimajungu zaidi ila matarajio yetu angalau benchi la litaacha siasa na kupanga wachezaji sahihi kutokana na uwezo wa mchezaji.

    ReplyDelete
  7. Mpira ni nidhamu bila nidhamu hakuna mpira.
    Tutamlaumu Amunike kwa sababu tunataka kucheza mpira wa kwenye vyombo vya habari.
    Aliandika mtu mmoja "hata akija guardiola hatufiki mbali!!!"
    Kama washabiki hatujitambui kuhusu nidhamu ya soka je hao wachezaji pendwa wana hali gani?

    ReplyDelete
  8. Wasi wasi wangu kama Juuko Murshidi anagekuwa Mtanzania basi zamani sana keshaishau kuichezea taifa stars.Watanzania huwa tunajikanyaga na suala la nidhamu yaani ni kiwango gani cha ukosefu wa nidhamu kwa mchezaji mwenye uwezo kufikia hatua ya kutoaminiwa kupewa majukumu ya kulitumikia Taifa? Kwa sababu nidhamu ya kwanza kwa mchezaji ni uwezo wake uwanjani upo kiasi gani halafu yafuate mambo mengine.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic