June 12, 2019

1 COMMENTS:

  1. Magufuli asirudi nyuma na watanzania kama kufa tufe sote tusikubali kirudi tulipotoka. Vita zidi ya rushwa ni vita zidi ya uhai na ustawi wa nchi yetu na maisha yetu. FINLAND ni nchi ya kwanza inayoongoza kwa ukusanyaji kodi duniani na ndio nchi ya kwanza Duniani inayoongoza kuwa pahala salama zaidi duniani kwa binaadamu kuishi kwa mujibu wa orodha ya nchi gani bora hivi sasa kwa kuishi duniani basi ni Finland na salama kwa maana ya furaha na usalama wa mtu na maisha yake. Watanzania tunao uwezo wa kuifanya Tanzania angalau kuwa nchi bora zaidi kwa kuishi barani Africa. Inawezekana kabisa wala sio big deal ni kuchange mind set zetu lakini kikubwa zaidi Mamlaka za serikali ziwe wakali zaidi kusimamia majukumu yao ipasavyo. Katika hili agalau kuwepo na mashindano ya kila mwaka ya mkoa gani bora kwa kuishi Tanzania kimazingira,uchumi na siasa na kuwepo na zawadi maalum na mashindano yawe siriaz badala ya kuekeza zaidi kwenye tunzo za ushindi wa michezo na sanaa peke yake nadhani tunzo za wadau wa maendeleo ndio zingepewa umuhimu wa aina yake kama taasisi gani ya afya ilikuwa bora zaidi na walifanya vipi hadi kuwa bora kupita wengine? Kitengo gani cha ukusanyaji kodi kilikuwa bora zaidi na walifanya nini hadi wakawa bora ili wengine waige. Tunzo ni kumpa motisha muhusika ili aone anachokifanya kinathaminiwa na ikiwezekana aongeze bidii. Kwa tunzo ya Magufuli na wanaomsaidia tutawakabidhi katika visanduku vya kura kwa kweli anastahiki makubwa zaidi ila Mungu ampe uhai na Afya njema ya kudumu Amen.Amen
    kwani Magufuli ni jasiri na ni mfano wa kuigwa awe mchezaji wa mpira au karani ofisini tunapaswa kuiga uwajibikaji wa Magufuli.
    Bila ya ujasiri wa wazungu leo hii tusingekuwa tunawasujudia wazungu kuwaona wa maana kuliko hata Mungu,maana Mungu akakataza ushoga lakini mzungu anaungwa mkono katika ukukubali.
    Bila ya ujasiri wa wazungu wasingetoka makwao mamilioni ya maili kuja kututawala waafrica. Wazungu waliamua kuwa majasiri kuja kuitawala Africa si kwa kufuata Zinaa au kufanya utalii bali ilikuwa ni vita ya kiuchumi na walifanikiwa na kuwaacha waafrica hoi hadi leo. Katika kipindi cha ukoloni mamilioni ya wa Africa walisombwa kama bidhaa na kusafirishwa nje ya Africa na wakishafika ulaya au Marekani bidhaa hizo za rasilimali watu ziliadabishwa kweli kweli kuhakikisha zinazalisha mali kweli kweli bila ya kusita na hivyo ndivyo wazungu walivyotoka na kwa bahati mbaya hadi leo wapo wazumgu wenye kuamini kuwa mtu mweusi na kile anachokimiliki mtu mweusi vipo kwa ajili ya kumtumikia mtu mweupe na kuna baadhi ya waafrica wapumbavu wanadhani kuwa wazungu wapo kwa maslahi ya mwafrica sahau hicho kitu zaidi ya plastic smile wewe unadhani anafuraha na wewe,pumbavu. Mwalimu Nyerere alikuwa jasiri na Tanzania ni Taifa lenye asili ya kuwa na watu jasiri kuanzia akina chifu mkwawa. Na ndio maana mataifa kadhaa ya kiafrika wanaiheshimu Tanzania. Sisi watanzania hatuna sifa yakuwa vibaraka wa wazungu ukimuona mtanzania wa namna hiyo ujue sie. Ujasiri unaonesha hivi sasa na Magufuli usiishie kwa Magufuli tu bali watanzania tunatakiwa kuwa majasiri kuulinda na kuujenga uchumi wetu ili kuwa na nchi bora hilo linawezekana kabisa. Kodi ndio uhai wa Taifa lolote lile. Watanzania hata Kwa kujitolea katika ujenzi wa reli ya kisasa na kwa serikali kuweka kumbu kumbu kwa raia aliejitolea katika ujenzi wa mradi huu ili kuweka hifadhi ya uzalendo bora na kutakuwa nafasi ya kazi au mkopo awe mtu anaefikiriwa zaidi kupata.Nadhani lengo kuu la mradi mkubwa wa treni ya kisasa ni kuiunganisha bandari ya Dareslam na dry poti za mipakani ya nchi yetu na nchi jirani. Kwa maana ya kwamba kuna nchi kadhaa hazina bandari sasa lengo ni kuzifanya nchi hizo kuwa karibu zaidi na bandari kutokana na kasi ya huduma ya usafiri wa reli ya kisasa ni jambo kubwa na kama ni vita basi ni kombora lilopigwa marufuku la masafa marefu hatuna budi watanzania kuungana kwa pamoja kuhakikisha huu mradi unakamilika kwa haraka uwezekanavyo.Amen

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic