Akizungumza na Saleh Jembe, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema
kuwa timu ya AS Vita imekubali kuja Bongo kucheza mchezo huo wa wa kirafiki.
“Tumecheza na timu nyingi kubwa na tumepata matokeo chanya hivyo hatuna mashaka na kikosi chetu kuelekea kwenye mchezo wetu wa kilele cha Wananchi dhidi ya AS Vita uwanja wa Taifa.
“Timu itawasili Bongo, Agosti 2 na itafanya mazoezi Agosti 3 kisha itakuwa kazini Agosti 4 mashabiki wajitokeza kwa wingi kushuhudia namna kikosi kitakavyopambana," amesema Mwakalebela.








Safi sana yanga.....!!! Hakika tutafika
ReplyDeleteSafi sana yanga.....!!! Hakika tutafika
ReplyDeleteunapokipima kkos chako lazma uite tmu kubwa zenye ushndan na ndo unaijua tmu yako sio kama simba day wanavoita tmu ambazo wana uhakka watazfunga mara leopad rayon asante kotoko tmu imeshapotea ndo wanaiita hongeren yanga.
ReplyDeleteZahera bwana,! Amemuita rafiki yake amtunzie heshima na ugali!!!
ReplyDeletengojeni mleza uso muanze visingizio
ReplyDeleteAs vita wameamua kuja kulipa fadhila ya jitihada za kufa mtu za Yanga ili waifunge Simba ila mnyama akiwa kwenye himaya yake hata faru akija ataliwa tu .
ReplyDeleteIYO SIKU YENU YA WANANCHI MJUE TU KUA SIMBA HATUMO
ReplyDeleteKwani timu hiyo si ilikuwa mboga tu Kwa Mnyama?
ReplyDeleteVita walikufa taifa mbele ya simba hawana jipya
ReplyDeleteJipya wanalo ndo maana walikugunga 4 kwao we ukamfunga 2 tena kwa goli LA babu
ReplyDeleteSIO NNE 5-0
ReplyDeleteyanga wanataka kutebelea nyota ya simba
ReplyDelete