July 7, 2019

MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame leo wameanza vema kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mukura FC.

Bao pekee la ushindi lilifungwa na mshambuliaji Iddy Suleiman 'Naldo' dakika ya 77 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.

TP Mazembe ambao nao wanashiriki michuano hiyo wameanza kwa kuambulia kichapo cha bao dhidi ya Rayon Sports.

Bao la Rayon Sport lilifungwa dakika ya 4 na mshambuliaji Ulimwengu Jules lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic