BENO Kakolanya mlinda mlango mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kwamba hana mashaka na uwezo wake hivyo mashabiki watampenda.
Kakolanya amesema kuwa katika kazi kuna ulazima wa kupata changamoto mpya sina hofu na ushindani wa namba ndani ya Simba.
"Sina hofu na uwezo wangu na hata ndani ya Simba kwa kuwa najiamini na ninaweza kuleta ushindani, kuhusu namba mimi sina mashaka mwalimu ana chaguo lake nami kazi yangu ni kupambana kwa ajili ya timu yangu," amesema.
Sasa Kakolanya atakuwa anagombania namba moja na mlinda mlango mwenye kandarasi ya miaka mitatu, Aish Manula.

Bado Simba haijatatua tatizo la mabeki wa maana.....beki #3 anatakiwa mtu mwenye uwezo na Uzoefu wa CAF...hawa mabeki (Gadiel & Tshbalala) hawawezi kuzuia forward kali za Esperance, TP Mazembe, Raja Casablanca walioenda juu na wenye kushiba na wenye kasi....tofauti za uchezaji kwa Gadiel na Tshabalala hakuna... NARUDIA tena ni mara mia (100×) Simba tumsajili WALUSIMBI NAMBA 3 KULIKO GADIELI....TUNZA KUMBUKUMBU YA COMMENT HII MTAKUJA KUNIAMBIA.......Simba tunataka mabeki wazoefu na CAF CL....sio mabeki wa kuwazuia lipuli, Ndanda, na alliance!!....huko sie tumeshatoka.....tunadeal jinsi ya kushindana na Esperance, TP Mazembe, Raja Casablanca haswa mechi za ugenini....kwahiyo akina Gadieli hawatatusaidia kitu....hakuna tofauti na Tshabalala!
ReplyDeleteSafari ya lambi ya Africa Kusini ndiyo itayoibuwa kila kinachotakiwa
ReplyDelete