July 5, 2019


Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.

Niyonzima amewaaga mashabiki wa Simba na kusema kuwa hivi karibuni atataja timu atakayoenda huku tetesi zikieleza kwamba ana nafasi kubwa ya kutua Congo.

Imeelezwa kuwa timu hiyo iliutambua uwezo wa Niyonzima baada ya kucheza na timu ya Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezaji huyo ambaye aliwahi ia kuichezea Yanga alijiunga na Simba msimu wa 2016/17 baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika.

3 COMMENTS:

  1. Inaonesha wazi kajiondoa mwenyewe shingo upande. Kama hunijui Mimi basi jaribu mwengine

    ReplyDelete
  2. Haloo nyie bana mnatuchanganya kabla ya kutoa taarifa muwe mnathibitisha kwanza. Mwanzoni mwa Wiki hii mlituandikia ameshasaini AS VITA kwa mil 80 leo mnatuambia yuko kwenye mazungumzo. Uzushi mtupu.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic