BARCELONA imejitetea kuwa hawajafanya kosa lolote kumsajili nyota wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.
Rais wa Barcelona, Josp Maria Bartomeu amedai kuwa Atletico Madrid hawana ushahidi wa kutosha dhidi ya tuhuma hiyo kwa kuwa wao walifuata kanuni zote.
Barcelona ilitoa ada ya pauni milioni 108 na kumyakua kwenye Shirikisho la Soka la Hispania baada ya Atletico kugomea mkwanja huo, wao walitaka pauni 180.
0 COMMENTS:
Post a Comment