July 29, 2019


JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Kenya unaotarajiwa kuchezwa Agosti 4.

Stars jana ililazimisha suluhu ya bila kufungana bao na timu ya Kenya kwenye mchezo wa kwanza wa kufunzu michuano ya Chan itakayofanyika 2020 Cameroon mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.

Bocco amesema:"Wao wameweza kupata sare nyumbani kwetu nasi tunakwenda kushinda kwao ni suala la muda na kujipanga tu hivyo mashabiki watupe sapoti kwa ajili ya kufikia malengo yetu ambayo ni kufuzu Chan," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Ni rahisi sana kusema kwa maneno ila kihistoria watanzania ni watu wa mchecheto zaidi wanapokuwa ugenini.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic