Ningependa kupendekeza kwa kamati ya usajili ya Yanga iongeze wachezaji WAZAWA 2 nafasi za ushambuliaji kwani msimu unaokuja kuna MASHINDANO MENGI (Mapinduzi, SportsPesa, Azam FA, Ligi Kuu na CAF) IWAPO WASHAMBULIAJI HAO 3 WATAPATA MAJERAHA MTAPATA SHIDA SANA KWANI HAKUTAKUWAPO NA MBADALA WAKE msisubiri hadi dirisha dogo itakuwa ni kama kucheza kamari kwani majeruhi yanaweza kutokea kabla ya January 2020...itawapa wakati mgumu sana.... NAOMBA MFIKISHE UJUMBE HUU KWA WAHUSIKA!
Ningependa kupendekeza kwa kamati ya usajili ya Yanga iongeze wachezaji WAZAWA 2 nafasi za ushambuliaji kwani msimu unaokuja kuna MASHINDANO MENGI (Mapinduzi, SportsPesa, Azam FA, Ligi Kuu na CAF) IWAPO WASHAMBULIAJI HAO 3 WATAPATA MAJERAHA MTAPATA SHIDA SANA KWANI HAKUTAKUWAPO NA MBADALA WAKE msisubiri hadi dirisha dogo itakuwa ni kama kucheza kamari kwani majeruhi yanaweza kutokea kabla ya January 2020...itawapa wakati mgumu sana....
ReplyDeleteNAOMBA MFIKISHE UJUMBE HUU KWA WAHUSIKA!
Ahsante