July 1, 2019

YANGA kwa sasa imekamilisha usajili wake kwa asilimia 90 kwa mujibu wa Mwenyekiti Mshindo Msolla.

Wachezaji hao iinatarajia kuwatangaza rasmi Julai 27 uwanja wa Taifa ikiwa ni siku maalumu ya wanachi.

Kwa sasa kikosi kipya cha Yanga msimu ujao kitakuwa na sura za namna hii:-

Mlinda mlango

Farouk Shikhalo amemwaga wino kwa kandarasi ya miaka miwili ametokea Bandari FC ya Kenya.

Mabeki

Ally Ally, 'Mwarabu' amejiunga na Yanga akitokea KMC. 
Ally Mtoni 'Sonso' ametokea Lipuli FC.
Lamine Moro raia wa Ghana. 
Mustapha Seleman raia wa Burundi.

Viungo

Abulaziz Makame ametokea Mafunzo FC ya Zanzibar.
Balama Mapinduzi ametokea Alliance FC.
Issa Bigirimana raia wa Rwanda.
Patrick Sibomana raia wa Rwanda.

Safu ya ushambuliaji
Juma Balinya ametokea Polisi ya Uganda
Maybin Kalengo ametokea Zesco ya Zambia

3 COMMENTS:

  1. Mnyama mla nyama anakungojeeni

    ReplyDelete
  2. Safi sana, mwaka wetu! Waache wahuni watafute wabrail koko! As vita, PT mazembe, mamelody hazina mbrazil wala muargentina lakini zinapiga soka balaa.... Kwa hiyo tusitishane

    ReplyDelete
  3. Mpira upo uwanjani migu vichwa ndio vitatoa maamuz yanga magool woyoooooo!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic