November 5, 2018


Mshambuliaji wa timu ya Ndada FC Vitalis Mayanga ambaye jana alimpiga chenga mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya na kufungwa na bao Nassor Saleh dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza, amesema kuwa bado ana matumaini ya kuendelea kufanya vizuri katika michezo inayofuata.

Mayanga ambaye amefunga mabao 5 mpaka sasa kwenye ligi kuu amesema kuwa ni jambo jema kwa timu yake kupata matokeo kutokana na ushindani uliopo hivyo ili kufikia malengo hayo ni lazima kuongeza juhudi.

"Ushindani kwenye ligi ni mkubwa nasi pia tunahitaji nafasi ya kuweza kupata matokeo mazuri ili kufanikiwa katika hilo ni lazima kuongeza juhudi, sioni tatizo kumtengenezea nafasi mchezaji mwenzangu kwa kuwa wote ni timu moja nitafunga na nitatengeneza nafasi kila inapobidi," alisema.

Ndanda inakuwa ni timu ya pili kumfunga Kakolanya baada ya michezo sita kupita kwani timu ya kwanza ilikuwa ni Mtibwa ambapo Yanga walishinda kwa mabao 2-1 na michezo mingine alifanikiwa kutoka na cllean

5 COMMENTS:

  1. Atafungwa tu hata afanye nini huo ni mwanzo wa kichapo chamsingi jiandaeni kisaikolojia,mnabebwa lakini mtajuta baadae huo mpango wakupangiwa mechi mfululizo haujawahi tokea,ukizingatia timu haina hata game za kimataifa lakini tff na bodi ya ligi mnaona ni saw, haya tutaona mwisho wenu angalieni wenzetu mbele timu inashiriki ligi nne na haiwi na kiporo vp bongo axeee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kubebwa !? Je lile goal angeshinda Yanga na jinsi Mayanga alivyomshinda nguvu Dante sujui Leo ingekuwaje. Kumbuka Coast vs Yanga ktk kombe la shirikisho mwaka juzi goal la Yanga msemaji wa Simba alivyolalamika ile mbaya.

      Delete
    2. Kweli alisukuma kabisa
      Lakini ndiyo hivyo sisi hatujazoea makelele... Huyu jamaa siunajua ni MZAZI WA s

      Delete
    3. Kweli alisukuma kabisa
      Lakini ndiyo hivyo sisi hatujazoea makelele... Huyu jamaa siunajua ni MZAZI WA s

      Delete
  2. Yanga walibebwa asilimia 110%

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic