July 5, 2019

BAADA ya kujiunga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga, aliyekuwa nahodha wa Yanga amewashukuru mashabiki na viongozi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu:-

"Hakika ilikuwa miaka miwili bora sana kwangu, ndani na nje ya uwanja, Yanga ilikua sehemu ya familia yangu.

"Nitoe shukrani zangu za dhati kwa viongozi, benchi la ufundi, wachezaji na mashabiki kwa kuniamini na kuniunga mkono katika kila jambo.

"Ni mengi nimejifunza na nina amini yatanisaidia kunijenga zaidi kama wachezaji, asante sana, hadi wakati mwingine tena, wananchi, asante," amesema Ajibu. 

5 COMMENTS:

  1. Kila la heri haya ni maisha tu, tunakutakia mafanikio mema

    ReplyDelete
  2. Kwakuwa karejea kwao alipolelewa na kukuzwa baada ya ugenini ataraji kila la heri

    ReplyDelete
  3. We nenda zako we NI msaliti tulikuwamini tumekupa mpaka unahodha lakin leo unatuacha Kenny mataa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mpira haupo hivyo mzee,kila mtu anatazam maslah binafs mwache aende panapo mlipa zaid

      Delete
  4. Unahodha kwani unabadili mkataba wa mchezaji?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic