July 31, 2019


KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kambi ya nchini Afrika Kusini imekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa ni muda wa kuondoka Afrika Kusini.

Simba iliweka kambi nchini Afrika Kusini kwa muda wa wiki mbili ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao leo wanarejea nyumbani baada ya kuivunja kambi.

Aussems amesema:- "Kwa sasa ni muda wa kuondoka Afrika Kusini baada ya kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

"Tumeifanya kwa mafanikio makubwa na juhudi kubwa hivyo shukrani zetu kwa wote waliokuwa nasi,".

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic