July 2, 2019

3 COMMENTS:

  1. Katika usajili ambao ni mzuri wa Simba ni huyu mbrazili anaitwa Gerson, yule msudani, hata mbrazili beki mrefu trairone....hawa watawasaidia sana kwenye CAF....lakini kifaa ni GERSON FARGA VIERA....BONGE LA BEKI....HUYU NI HATARI

    ReplyDelete
  2. Kama usajili wa Gadiel michael kutoka yanga kwenda simba utakamilika,basi kwangu naona ndio utakuwa usajili bora kuliko sajili zote zilizokwishafanywa na simba mpaka sasa kwa ajili ya msimu ujao.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic