SIMBA YAIBUKA NA JINGINE KUBWA LA USAJILI WIKI HII Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.
Katika usajili ambao ni mzuri wa Simba ni huyu mbrazili anaitwa Gerson, yule msudani, hata mbrazili beki mrefu trairone....hawa watawasaidia sana kwenye CAF....lakini kifaa ni GERSON FARGA VIERA....BONGE LA BEKI....HUYU NI HATARI
ReplyDeletehata huyu mreno naona bonge la player nomaaaaaa
ReplyDeleteAnaitwa nani huyo mreno
ReplyDelete