MARCUS Rashford ameingia makubaliano na timu yake ya Manchester United kwa kandarasi ya miaka minne huku akilipwa mshahara mnene.
Rashford ambaye ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya England kwa sasa atakuwa analipwa Pauni 300,000 kwa wiki kwa mujibu wa mkataba wake mpya.
Mkataba huo utamalizika mwaka 2023, Rashford atalipwa jumla ya Pauni 200,000 kwa wiki akiwa ndani ya Old Trafford ukijumlisha na malipo ya bonasi inafika jumla ya Pauni 300,000.
0 COMMENTS:
Post a Comment