July 4, 2019

4 COMMENTS:

  1. hivi virabu ni pasua kichwa sana

    ReplyDelete
  2. wazeeeeeeeeeeeeeeeeee, mtuacheeeeeeee e jaman mmerogwa na nan?

    ReplyDelete
  3. Mohammed Mo ameamua unaweza kusema kama kujitolea kuhakikisha mpira wa Tanzania kwa kupitia simba unakuwa. Na jitihada zake zilishaanza kuzaa matunda baada ya Tanzania kuongezewa idadi ya timu shiriki kwenye mashindano ya CAF.Ila licha ya jitihada za Mo za makusudi kuhakikisha kiwango cha mpira wa Tanzania kwa kupitia simba kinakuwa cha kutisha barani Africa kuna watu wanakereka. Kuna watu wanamuwangia usiku na mchana ili Afeli kwenye jitihada zake na ikiwezekana aondoke pale simba? Mo hawezi kuondoka simba na hata akiondoka simba kimwili basi roho yake kamwe haiwezi ondoka simba.Ni timu yake kama mpenzi yeyote yule wa simba damu.Wanasimba kokote walipo wanajua hilo kwa asilimia mia moja 100% kwamba Mo hayupo Simba kwa ajili ya kubomoa bali yupo pale kwa ajili ya kujenga simba imara na wanamsapoti kwa nguvu zao zote na wapo tayari kwa lolote lile Kuna Majungu mengi sana yanayoelekezwa ndani ya simba lakini la kushangaza majungu hayo yanakuja baada ya Simba kuwa inafanya vizuri.Ila lazima kuwe na tahadhari kwani simba ni taasisi kubwa na nguvu yake kubwa ni vijana na hamu yao kubwa ni kutaka kuona simba yao inapata mafanikio na sio kitu kingine. Na Mo kwao ni mkombozi wa maendeleo kwenye klabu yao. Hakuna mkamilifu ila kutafuta madhaifu machache ya kiuongozi na kuyafanya big issue na kushindwa kuyatambua mafanikio makubwa yanayopatikana ndani ya Simba hivi sasa kwa kweli ni unafiki na roho mbaya ambazo hazita tufikisha kokote watanzania .

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic