July 11, 2019


UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeziita mezani timu zote Bongo ambazo zinahitaji kupata saini za wachezaji wao.

Mwadui FC na Kagera Sugar zimetajwa kuwania saini ya beki wa Mtibwa Rojas Gabriel.

Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa hawana mashaka na timu ambazo zinahitaji saini ya wachezaji wao kwani wana uwezo wa kutengeneza wachezaji wengine.

"Mtibwa Sugar ni chuo na wengi wanapenda kupata wachezaji wazuri hivyo wakija kwetu hatuna mashaka tutazungumza," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Zamani zilikua Simba,yanga na Azam, Sasa hawana soko kwa timu hizo kwasababu hawana uzoefu wa kimataifa,wakitoka Moro tuu mpira kwisha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic