NAMUNGO FC imeamua kula sahani moja na aliyekuwa mlinda mlango wa Simba, Deogratius Munish
ili aongeze nguvu kwenye kikosi chao.
Uongozi wa Namungo FC umeweka bayana kwamba mpango mkubwa ni kupata wachezaji wenye uzoefu ambao wataongeza ushindani.
Kocha wa Namungo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa mpango wa kusajili wachezaji wakubwa upo ila lazima wawe na uwezo mkubwa.
“Bado zoezi
la usajili linaendelea na mtu ambaye atatufaa ni yule mwenye uwezo, kuhusu Dida hilo bado siwezi kuweka wazi kwa sasa," amesema.








0 COMMENTS:
Post a Comment