July 5, 2019


MUWEKEZAJI wa Simba na mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewj 'Mo' ameandika ujumbe mwingine ambao umezua utata kwa mashabiki na wapenzi wa Simba.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram, Mohammed Dewji, ‘Mo' :-“Kwenye uongozi na kwenye maisha , huwa nakaribisha kukosolewa.Lakini siwezi na sikubali kufanya kazi na mtu anayehujumu malengo , mipango na maslahi mapana ya taasisi, mtu anayetoboa mtumbwi tunaosafiri nao.”.

Ujumbe huu umepokelwa tofauti na mashabiki wa Simba ambao walikuwa wanahoji kuna tatizo gani ambalo limemkuta mwekezaji huyo kwa sasa.

6 COMMENTS:

  1. Kila mtu anajua tatizo sio faru,tatizo no pembe lake

    ReplyDelete
  2. Kuna watu wanahangaika na kuiombeya simba kurudi kwenye kutembeza bakuli. Hata kuna baadhi ya vyombo vya habari vishaanza kuandika habari za kichochezi zaidi zidi ya Simba kama vile wanafurahia Simba kuingia kwenye matatizo. Huu ni upumbavu kwa chombo kujiegemeza katika habari za kichochezi zaidi kuliko za kimaaendeleo. Gazeti la Nwananchi limeandika simba yakatika vipande vipande. Vipande gani hivyo? Kama si uchochezi kitu gani?

    ReplyDelete
  3. Huu moshi unafuka ndani ya chama langu ni mweusii tiii

    ReplyDelete
  4. Tuache ujinga, Simba tusifanye makosa,umoja ni nguvu.

    ReplyDelete
  5. Nimeshika shavu nasubili matokeo ya mwisho

    ReplyDelete
  6. Karibuni tutembeze bakuli, nenda MO. cc tulishazoea.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic