July 5, 2019



BAADA ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba, kiungo Francis Kahata ambaye ametoka timu ya Gormahia mshambuliaji wa Nkana FC, Walter Bwalya amesema kuwa anamtambua vema Kahata amekuja kufanya kazi mashabiki watampenda.

Kahata ambaye ni nyota ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya kwa sasa ni mali ya Simba.

"Namtambua Kahata ni mtu wa namna gani hivyo ametua sehemu sahihi na tafanya kazi kubwa ndani ya Simba," amesema.

3 COMMENTS:

  1. Bila shaka Walter Bwalya angependa kufanya kazi pamoja na kahata ndani ya simba vile vile. Wakubwa bado kunahitajika fowadi mmoja mwenye shabaha asiekuwa na kigugumizi kwenye eneo la hatari kaliba ya Bwalya. Msimu uliopita fowadi yetu ilipoteza nafasi nyingi za wazi za magoli kupita kiasi na halikuwa tatizo la kocha bali ni la wachezaji wenyewe binafsi na hawakuwa na dalili ya kujirekebisha na tatizo husika.

    ReplyDelete
  2. Nivyema walter ukatua msimbaz kuweza kuungana na kahata najua ungefanya vyema kabisa

    simba ya mwaka huu haitakamatika hatar

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic