Uongozi wa klabu ya Yanga umemteua Disman Ten kuwa Kaimu
katibu mkuu wa hiyo akichukua nafasi hiyo Omary Kaaya aliyemaliza mkataba wake.
Yanga kwa sasa ipo katika mchakato wa kupitia CV za
baadhi ya viongozi waliojitokeza kuwania nafasi hiyo ambayo ilikuwa inakaimiwa
kwa muda mrefu tangu alipoondoka Charles Mkwasa.
Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Fredrick Mwakalebela
alisema ni kweli wamemteua Ten baada ya jana Kaaya kumaliza mkataba wake na
kuweka wazi kuwa Ten atakaimu nafasi hiyo kwa siku kumi.
"Anakaimu nafasi hiyo kuanzia leo hadi Julai 10,
kwani na yeye mkataba
0 COMMENTS:
Post a Comment