July 4, 2019


MSHINDO Msolla Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko mchezaji hivyo hawana presha na beki Gadiel Michael ambaye mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga.

Msolla amesema kuwa endapo beki huyo atawasumbua kusaini watamwacha aendelee na hamsini zake kama ambavyo wamefanya kwa nyota wao Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na timu yake ya zamani ya Simba.

"Hakuna mchezaji mkubwa kuliko klabu, hata mimi cheo changu hakina maana kwamba ni mkubwa kuliko timu, hivyo kama Gadiel hatakubali kusaini hatuna haja ya kumbembeleza kwa kuwa mpira ni kazi.

"Ni wajibu wa kila mchezaji kumuheshimu mwajiri wake na kufuata masharti hivyo kama ataamua kuondoka milango ipo wazi, wengi sana wamepita Yanga," amesema.

18 COMMENTS:

  1. mzee kama umepanic vile tulia vuta pumzi shusha pressure baba mkitaka mchezaji hamshindwi kwani hela imeisha ongezeni mpungaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. huyu kapaniki wala kiongozi mwenye uheled hawezi kuzungumza kwan mtu kusaini ni vita jaman e waachieni wenyewe wachague maana hii ni ajira kama ajira zingne. Kama bado hajasaini na mmempa taarifa mwacheni mwenyewe achague siyo kupaniki na kutoa matamko yasiyo ya rasmi, achaneni nae sio kulazimisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawa vijana wamedanganywa na washauri wabovu walionao kwa kudhani kuwa wana viwango vya juu ama kutafuta pesa nyingi kwa ajili ya maisha lakini wanashindwa kujua kuna siku utafilisika na pesa uliyopewa itaisha na itabidi utafute nyingine wakati huo kiwango kimeshuka hamna mtu aliye tayari kukusajili....na kwakuwa umri ni mdogo hata nje hawawezi kukuchukua ikiwa nidhamu yako n.a. kiwango chako kimeshuka.....pesa ni muhimu lakini sio kila kitu....wachezaji wetu inatakiwa wapewe somo la kujitambua ama sivyo wataishia humu humu kukata mitaa ya kariakoo

      Delete
  3. Lugha kama hiyo inmekuwa ukiitumia mfululizo Kwa Ajib na sasa Kwa Gadyel kama si kubembeleza ni kufanya nini Huko na lugha hiihii uliitumia Jana ukimwambia Gadyel ende kujiunga na Si mbana kuhusu Ajib Pia mlimbembeleza mpaka mkafika Kwa Mzee wake WA kike. Nakushauri mchezaji akikukataa mara moja wewe mkatae mara kumi na wala wasikupandishe presha

    ReplyDelete


  4. The challenge is to stay cool enough to handle the pressure in the moment so that you can succeed in the future.

    ReplyDelete
  5. Achana nao hao wachezaj wasiokuwa na fikra mbadala mara leo yanga kesho simba, hawafikirii kuvuka mipaka yanchi. Utaona mchezaj anakiburi utadhani amepata dili stock city au Sheffield Wednesday au hata black pool tu, kumbe yumo humu humu kariakoo, mara Simba mara yanga .Hawa ndio wanaotuharibia malengo yetu yatimu ya taifa. Hataki kupata changamoto mpya. Leo mchezaji Kama abdallah shaibu( NINJA) anaenda kulipwa alot of money karibu mil 46 za kitanzania kwa wiki. Lakini kiukweli kiwango chake bado hakija imarika ukilinganisha na hao wapiga misere ya kariakoo. Lakini masikini ya mungu hawajitambui. Kesho na keshokutwa NINJA atakuwa mfalme wa soka latanzania. Jifuzeni ya mrisho ngasa na mbwana samata,leo Nani mfalme Tanzania? Je ninani alikuwa na mpira mwingi Kati yao kabla ya samata kuondoka bongo? Mwenyekiti wa yanga upo ok potezea yote majitu yasiyojitambua ikiwezekana pangeni wageni wote kikosi Cha Kwanza mkimbakisha yondani na boxa tu. Hao wengine hawakawii kupigwa tano alafu mtu anacheka uanjani. DEGERESI

    ReplyDelete
  6. Kama mkataba umeisha afuate masharti gani Dr Msola? Yuko huru acha kupaniki na kutoa vitisho

    ReplyDelete
  7. Tatizo la Watanzania ndo hilo pindi mtu anapoamua kufunguka na kuwa wazi basi tafsiri hasi zinachukua mkondo wake.Naungana na Dr.Mshindo Msolla kwa sababu mchezaji anapokuwa anakaa kimya bila kuweka wazi hatima yake anaharibu mipango ya timu katika kujipanga.Hebu fikirieni iwapo timu itakuwa na matumaini ya kusema kwamba huyu ni mwenzetu kundini lakini mwisho wa siku anaamua kusepa na kuacha pengo ambalo kama tu angeweka wazi hatma yake mapema benchi la ufundi lingekuwa lina muda mwingi wa kutafuta mbadala wake.Je siku akiamua kusema anaondoka na zoezi la usajili likawa limefikia siku za mwisho kabisa akiambiwa kuwa aliihujumu timu kwa namna fulani atakataa?

    ReplyDelete
  8. Akaamulize Deogatius Munishi Dida alivyoingizwa mkenge amebaki kusajiliwa na timu za South Africa kwenye magazeti na blogs za waganja njaa na kuishia kukata mitaa

    ReplyDelete
  9. Gadieli Michael ni mbovu sana kwenye kukaba magoli mengi ya Timu ya Taifa na hata mechi za ligi kuu yalikuwa yanapitia upande wake fuatilia mechi za Taifa Stars na za Yanga utakubaliana namimi....Kama mimi ndio nasajili Simba natafuta namba 3 ni mara mia nimchukue Godfrey Walusimbi kuliko Gadieli Michael....yeye (Gadieli) ni mzuri tu kwenye kushambulia....kitu ambacho Mohamed Husein Tshabalala anacho na zaidi

    ReplyDelete
  10. Hawa vijana wamedanganywa na washauri wabovu walionao kwa kudhani kuwa wana viwango vya juu ama kutafuta pesa nyingi kwa ajili ya maisha lakini wanashindwa kujua kuna siku utafilisika na pesa uliyopewa itaisha na itabidi utafute nyingine wakati huo kiwango kimeshuka hamna mtu aliye tayari kukusajili....na kwakuwa umri ni mdogo hata nje hawawezi kukuchukua ikiwa nidhamu yako n.a. kiwango chako kimeshuka.....pesa ni muhimu lakini sio kila kitu....wachezaji wetu inatakiwa wapewe somo la kujitambua ama sivyo wataishia humu humu kukata mitaa ya kariakoo

    ReplyDelete
  11. Hawa vijana wamedanganywa na washauri wabovu walionao kwa kudhani kuwa wana viwango vya juu ama kutafuta pesa nyingi kwa ajili ya maisha lakini wanashindwa kujua kuna siku utafilisika na pesa uliyopewa itaisha na itabidi utafute nyingine wakati huo kiwango kimeshuka hamna mtu aliye tayari kukusajili....na kwakuwa umri ni mdogo hata nje hawawezi kukuchukua ikiwa nidhamu yako n.a. kiwango chako kimeshuka.....pesa ni muhimu lakini sio kila kitu....wachezaji wetu inatakiwa wapewe somo la kujitambua ama sivyo wataishia humu humu kukata mitaa ya kariakoo

    ReplyDelete
  12. Hawa vijana wamedanganywa na washauri wabovu walionao kwa kudhani kuwa wana viwango vya juu ama kutafuta pesa nyingi kwa ajili ya maisha lakini wanashindwa kujua kuna siku utafilisika na pesa uliyopewa itaisha na itabidi utafute nyingine wakati huo kiwango kimeshuka hamna mtu aliye tayari kukusajili....na kwakuwa umri ni mdogo hata nje hawawezi kukuchukua ikiwa nidhamu yako na kiwango chako kimeshuka.....pesa ni muhimu lakini sio kila kitu....wachezaji wetu inatakiwa wapewe somo la kujitambua na uweledi, na namna ya kufikiria future yao zaidi katika kukuza na kuviendeleza vipaji vyao, ama sivyo wataishia humu humu kukata mitaa ya kariakoo

    ReplyDelete
  13. Nadhani tusiwalaumu wachezaji kuwa hawatoki nje lakin tujiulize nan wa kuwatoa nje?, tumeona wachezaji wa bara zilizoendelea kisoka wanavyofanya yaani wao ni kwenda kusaini tu kama alivyofanyiwa Ninja, ninja alikuwa zenji lakin kuna watu waliompigania mpaka kufanikisha dili hilo unadhani ninja anakiwango kuzidi kanavaro au yondani? hapana kaandaliwa mazingira sahihi na kwa mda mwafaka ndo maana haoni kuna shida lakin hawa tunawaongelea siku hizi wasimamizi wao ni kaka zao ambao hawana hata elimu kuhusu soka unadhani wanakuwa na ueledi wa kuona nn nifanye kama wewe ni fundi ujenzi halafu unamsimamia mdogo wako ambae ni mchezaji unadhani utatimiza malengo yake?. Ninja kasimamiwa tena na kampuni yenye ubiya na club hiyo kwa hiyo ni rahisi yeye kutoka na waliandaa mazingira mapema, muulize gadiel nan wakala wako?, jibu utakalo lipata ndo linakuwa suluhisho kwako, mtandoa kwa wachezaji wetu ni shida jamani, tuwaacheni tu kila mtu na ridhiki aliyopangiwa na mwenyezi Mungu

    ReplyDelete
  14. Pia hawa vijana sasa hawaangalii soka lao sasa wanaangalia fedha hata kama kiwango ni kidogo sana, wanataka pesa nyingi kazi uwanjani haionekani kwa kweli wanasikitisha sasa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic