August 29, 2019


Yanga itafanya ziara yake jijini hapa kuanzia Jumatano ijayo na itacheza michezo miwili ya kirafi ki ikiwa ni pamoja na kushiriki shughuli za usafi jijini hapa. Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Mkoa wa Mwanza, Mhando Madega alisema;

“Timu yetu ikiwa hapa tutakuwa tukifanya shughuli za usafi lakini pia timu itapata muda wa kucheza michezo miwili ya kirafi ]ki ambayo itakuwa na lengo la kuichangia timu hiyo fedha ili iendelee kuimarisha mfuko wake kwa kuwa tunakabiliwa na mashindano ya kimataifa.”

Madega ameongeza kwamba Yanga itacheza mchezo wa kirafi ki dhidi ya timu moja kutoka Kenya ambayo bado wanafanya nayo mazungumzo.

Madega amewaomba wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kuisapoti timu yao.

2 COMMENTS:

  1. USHAURI ILI KULETA USHINDI FIKISHA UJUMBE HUU KWA VIONGOZI WA YANGA

    Uongozi kuweka mfumo mpya wa posho na bonasi kwa kuzingatia yafuatayo
    1. Bonasi kutokana na Umoja, Ari na Ushirikiano wa Wachezaji na Benchi la Ufundi
    A. Timu ikicheza kwa umoja na ushirikiano na ari ya juu halafu ishinde (bonasi 20% ya mapato
    au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    B. Timu ikicheza kwa umoja na ushirikiano na ari ya juu halafu ishinde (bonasi 5% ya mapato
    au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    C. Timu ikicheza kwa umoja na ushirikiano na ari ya juu halafu ifungwe (bonasi 0% ya mapato 
    au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    2. Posho Kutokana na Pasi zinazozaa ambao (45% ya mapato au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    3. Posho Kutokana na kuzuia jitihada timu isifungwe (50% ya mapato au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    4. Posho kutokana na ushindi 80% ya mapato au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)
    5. Benchi la Ufundi kuongeza mbinu na mikakati ya ushindi 40% ya mapato au kwa namna uongozi utakavyopata pesa)

    KURUDISHA YANGA TASK FORCE KWA AJILI YA MICHUANO YA LIGI KUU NA AZAM FA CUP NA CAF CL

    Ahsante

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic