MASHINDANO ya Sprite B Ball Kings yanazidi kupamba moto ambapo kwa sasa tayari timu 16 bora zimepatikana baada ya mchujo uliofanyika jana kwenye viwanja vya JMK Parks.
Bingwa mtetezi ambaye ni Mchenga B Ball Stars yeye ameingia jumla kwenye hatua ya 16 bora bila kupita knye mchujo.
Jumla zilizotinga hatua ya 16 bora hizi hapa:-
TMT
Dream Chaser
Stylerz
Nothing But Net
KG Dallas
JK Ballers
Tamaduni
Oysterbay
Wagalatia
Flting Dribbels
Water Institute
Ukonga Hit Men
Yo! Street
Temeke Heroes
Weusi BBALL
Mchenga BBALL Stars
0 COMMENTS:
Post a Comment