KMC ikiwa ugenini ililazimisha sare ya bila kufungana na wapinzani wao AS Kigali hivyo wana kazi ya kutafuta matokeo kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 23-25 jijini Dar.
Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa wachezaji kwa sasa wapo kambini kwa ajili ya kujiaanda na mchezo wa marudio.
"Kikosi kimerejea salama kutoka Kigali, matokeo tuliyoyapata si mabaya ila tuna kazi ya kufanya kwenye mchezo wetu wa marudio mashabiki watupe sapoti," amesema.
0 COMMENTS:
Post a Comment