August 20, 2019


KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kikosi kitarejea kwenye makali yake ya zamani.

Mwambusi amerejea nyumbani baada ya kupigwa chini na Azam FC msimu uliopita kwa kile kilichoelezwa kuwa ni matokeo mabovu.

Mchezo wake wa Kwanza utakuwa dhidi ya watani wa jadi, Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa Sokoine na Mbeya City atakuwa mwenyeji.


"Kikosi kipo vizuri na wachezaji wana morali ya lupambana, nina imani tutafanya vema msimu mpya ndani ya ligi," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic