Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, iliyopo Kigoma, Jason Rwekaza (Katikati) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma na kusomewa mashitaka saba, sita kati ya hayo ni ubakaji na moja kumtia mimba mwanafunzi wake wa darasa la tano.
Amekana mashitaka hayo na ametoka kwa dhamana hadi kesi yake itakaposomwa Agosti 19 2019.
Kutoka Azam TV








0 COMMENTS:
Post a Comment