Bodi ya Ligi limevifungia viwanja vitatu vinavyotumia katika mechi za Ligi Kuu Bara.
Viwanja hivyo ni:- Uwanja wa Mwadui (Shinyanga), Manungu (Morogoro) na Mabatini (Pwani).
Viwanja vivyo vimefungiwa kutumika katika msimu wa Ligi Kuu Bara 2019/20 hadi hapo vitakapofanyiwa marekebisho.








Ni vzr kufungia viwanja visivyo na ubora, japo kwa Hali ilivyo sidhanii Kama Ni hivyo tu vinavyotakiwa kufungiwa vipo vingine (labda Kama vineshakarabatiwa) Ila Sasa Ili TFF kuongeza ufanisi ktk usimamizi pia kuboresha viwanja Ni vzr wakatoa changamoto kwa Kila chama Cha soka mkoa, wamiliki wa viwanja pamoja na timu (hasa zinazotumia viwanja nje ya Dar) kuwepo na vifaa/ miundombinu kwa ajili ya maboresho ya pitch za viwanja vinavyotumika. Hapa namaanisha (1) mashine za kukatia nyasi mara kwa mara - kufanya leveling wakati wa masika kwa kuwa nyasi huota kwa wingi na kasi, pia (2) kuwa na mfumo wa maji utakaowezesha viwanja kumwagiwa maji Kila siku asubuhi na jioni wakati wa kiangazi kwa vile viwanja vingi nyasi hukauka na sehemu kubwa ya viwanja kuwa na mavumbi, hapa iwe Ni vifaa vya umwagiliaji wa kisasa yaani vikishawekwa uwanjani vinatawanya maji na kazi kubwa Ni kufungulia maji tu na kuhamisha vifaa hivyo. Pia na kufukia mashimo kwa kushindilia na udongo unaofaa (km viwanja vina mashimo).
ReplyDeleteHayo yawe Ni mkakati wa muda mfupi (Short term plan) mf. miezi 6 - 8 au mwaka. Baada ya yote hayo kukamilika na kuwa ktk mwendeoezo kwa kutejelezwa kwa Kila mwaka/msimu, basi ifuatiwe na mkakati wa muda mrefu (long term plan) miaka 2 - 5 hivi:- swala la kupiga rip km hakuna rip ktk kuta, kupaka rangi vyumba na kuta za viwanja, uwekaji wa tiles eneo la kukaa kwa mashabiki.
TFF na Watanzania tunasahau kuwa maendeleo ya mpira pia huchangiwa na kuwa na viwaja Bora vya mpira, hasa pitch nzuri.. tukiwa na viwanja vingi Bora hata tukiomba kuwa wenyeji was AFCON uwezekano wa kupewa Ni mkubwa. La hata bila kupewa kufikiriwa kwa siku za usoni.
ReplyDeleteviwanja Bora vinakuza na kuzalisha wachezaji Bora, huu ndio ukweli.
Labda kama havina majukwaa na uzio wa viwanja ni mabati ila kama wakiangalia na pitch basi vipo vingi tu havistahili kuchezewa ligi
ReplyDelete