August 15, 2019


Imeelezwa kuwa kundi la Task Force lililokuwa linahusika na kulinda timu ya Yanga katika michezo mbalimbali limeandika barua ya kuvunja na kujiondoa rasmi katika shughuli hiyo sababu ikielezwa kukosa ushirikiano na uongozi uliopo.

Taarifa imeeleza katika mchezo uliopita kati ya Yanga na Township inaelezwa walipewa kiasi cha shilingi millioni moja na laki saba ili kusimamia mchezo huo baadae wakaja kuambiwa hawatakiwi.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic