September 5, 2019


KIKOSI cha Azam FC leo kitashuka uwanjani majira ya saa 1:00 Usiku kumenyana na Friend Rangers FC.

Mchezo huu wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Triangle United ya Zimbabwe unaotarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 13-15 uwanja wa Chamazi.

Huu unakuwa ni mchezo wa pili baada ya kuanza Jumapili mbele ya Transit Camp uwanja wa Uhuru na Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 3-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic