September 22, 2019


 LEO Jumapili kikosi cha Azam FC kimekwea pipa kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Triangle United.

Msafara wa leo umeongozwa na Kocha Msaidizi Idd Cheche akiwa na baadhi ya wachezaji ambao hawakuitwa timu ya Taifa.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 28 katika jiji la Bulawayo.

Mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Azam ilikubali kichapo cha bao 1-0 ili isonge mbele ni lazima ishinde mchezo wa marudio kwa mabao zaidi ya mawili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic