FT: Burundi 1-1 Tanzania
Uwanja wa Prince Louis Rwagasore
Burundi walianza kupachika bao dakika 81 kupitia kwa Cedric Amiss na Simon Msuva alisawazisha dakika ya 85.
Sure boy dakika ya 42 alionyeshwa kadi ya njano
Ramadhan Shamte alionyeshwa kadi ya njano dakika ya 65
Dakika ya 55 Dilunga anampisha Idd Suleiman 'Naldo' Sure Boy anampisha Domayo dakika ya 68.
Mchezo wa kwanza kwa ajili ya kufuzu Kombe la Dunia nchini Qatar 2022 uwanja wa Prince Louis Rwagasore kati ya Burundi na Tanzania umemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1.
Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa Septemba nane Uwanja wa Taifa.
0 COMMENTS:
Post a Comment