KISA LIVERPOOL HAJI MANARA AWEKA AHADI YA KUTISHA
Kuelekea mechi ya Ligi Kuu England jioni ya leo kati ya Manchester United dhidi ya Liverpool, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameahidi kutembea kwa miguu kutoka Kariakoo hadi Morogoro endapo Liverpool itashinda.









Brother manara una bahati sana ishukuru sana VAR,achana na liver brother ule mziki mwingine ball possession 72.wakati mwingine uwe makini shauri yako sitaki kuongea sana nadhani umeona mziki.
ReplyDeleteHaya manara ongera unabahati wewe
ReplyDeleteNo idea
Manara unabahati wewe
ReplyDelete