KOCHA SIMBA ASHANGAZWA NA ALICHOKUTANA NACHO SHEIKH AMRI ABED ARUSHA Alichokiandika Kocha wa klabu ya Simba, Patrick Aussems mara baada ya kukutana na jukwaa la Fiesta katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ikumbukwe Simba na Singida United watakuwa wanakipiga leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
ok thank your coach
ReplyDelete