MO DEWJI ATUMA UJUMBE YANGA
Mwekezaji Mkuu wa Simba SC, Mohammed Dewji 'Mo' ametuma salaam za pole kwa mashabiki wa Yanga ambao walipatwa na ajali wakati wakielekea Mwanza kwa ajili ya kuipa sapoti timu yao inayocheza dhidi ya Pyramids FC ya Misri, katika Kombe la Shirikisho Afrika.









0 COMMENTS:
Post a Comment