FT: Simba 1-0 Azam FC
Goal: Meddie Kagere dk ya 49
Kagere anarejea na mpira unakamilika Kagere anapata maumivu anatoewa nje kwa muda Zinaongezwa dakika 3
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 89 shamte ananzisha mashambulizi
Dakika ya 84 Kahata nje ndani Ajibu
Dakika ya 83 Idd alipiga kona iliyogonga juu ya lango
Dakika ya 80 Kahata alipaisha mpira lango la Azam FC
Dakika ya79 Ngoma ndani Domayo nje
Dakika ya 78 Chama anapiga kona inaokolewa na Mwadin
Dakika ya 76 Wawa anacheza rafu kwa Chirwa
Dakika ya 72 Manula anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 71 Manula anagongana na Chirwa akiokoa hatari
Dakika ya 70 Chama anampa Gadiel, Mzamiru anashindwa kusonga mbele mpira kwa Naldo wa Azam FC
Dakika ya 69 Wawa anaokoa mpira kutoka kwa Naldo
Dakika ya 68 Chilunda anachonga pasi matata Chirwa anaipaisha
Dakika ya 67 Wadada ananzisha safari kwa Manula
Dakika ya 66 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 65 Miraj anaanzisha mashambuliz mpira unaishia ndani ya 18
Dkika ya 64 Mzamiru anafanyiwa madhambi
Dakika ya 61 Simba wanaanza mashabulizi
Dakika ya 60 Azam wanafanya shambulizi Chilunda anafunga bao anaambiwa ameote Chirwa anaotea dk ya 59
Miraj ndani nje Dilunga dak ya 57
Dakika ya 54 Chilunda Ndani nje Djod
Mabadiliko dakia ya 45 Shiboub nje Chama ndaniKipindi cha pili Simba inaandika Goaaaaaaal Kagere dk ya 49 asisiti Kahata
Mapumziko
Zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45 wanacheza faulo Simba
Dakika ya 44 anaonyeshwa njano ChirwaDakika ya 43 Domayo anampa Obrey, Chirwa anamchezea rafu Yassin
Dakika ya 42 Azam wanapeleka mashambulizi kwa Simba
Dakika ya 41 Daniel Amoah anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Dilunga inapigwa na Nyoni
Dakika ya 40 Mwadini anaunyaka mpiraDakika ya 39 Shiboub anaanzisha mashambulziiDakika ya 38 Shamte anamzuia Chirwa
Dakika ya 37 MK 14 anacheza faulo ndani ya 18 anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea Yakub Mohamed
Dakika ya 36 Yassin anaangusha ndani ya 18 inapigwa kona
Dakika ya 35 Azam FC wanakosa bao la wazi kabisa
Dakika ya 34 Mwadini anainyaka pasi ya Kahata
Dakika ya 33 Kangwa anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu MK 14 inapigwa na Kahata inaokolewaDakika ya 32 Kona Azam FC
Dakika ya 31 Wawa anacheza faulo inapigwa na Djod inaokolewa
Dakika ya 30 Kagere anaotea
Dakika ya 29 Azam FC wanarusha mpira ndani ya 18 Djod anaupaisha mpiraDakika ya 28 Gadiel Michael anapeeka mashambulizi
Dakika ya 27 Cheche anawapa maelekezo wachezaji wake
Dakika ya 26 Shamte anapiga faulo inaokolewa
Dakika ya 25 Domayo anaunawa mpira, Simba inapata faulo inapigwa na Shamte
Dakika ya 24 Nyoni anamtafuta MK 14
Dakika ya 23 Dilunga anapiga kona haizai matunda
Dakika ya 22 Sharaf anarusha mpira, Manula kwa Wawa
Dakika ya 21 Mwadin anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 20 Sharaf anazinguana na mwamuzi
Dakika ya 19 Manula anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 17 Manula anatoka langoni mpira unakutana na Chirwa akakosa, Wadada anapiga shuti linadakwa na Manula
Dakika ya 16 Wadada anarusha mpira, Nyoni anamchezea faulo Chirwa
Dakika ya 15 Azam wanapiga kona Wadada, Fraga, Kahata, MK 14 anapoteza
Dakika ya 15 Domayo anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 14 Frank Domayo anamchezea rafu Yassin
Dakika ya 13 Madin anaanzisha mashabulizi
Dakika ya 12 Dilunga anapiga kona inakoswa ndani ya eneo la hatari.
Dakika ya 12 Wadada anamfanyia faulo Dilunga
Dakika ya 11 Bruce Kangwa anapoteza
Dakika ya 10 Kagere anaotea
Dakika ya 9 Mzamiru Yassin anampa Wawa
Dakika ya 8 Madini anaanzisha mashabulizi kwenda Simba
Dakika ya 7 Chirwa anaotea
Dakika ya 6 Shiboub anapaisha pasi ya Kahata akiwa nje ya 18.
Dakika ya 5 Frank Domayo anampa Nicolaus Wadada
Dakika ya 04 Frank Domayo anaachia shuti kali kwa Manula linapanguliwa.
Dakika ya pili shuti la Kahata linaokolewa langoni mwa Azam na Bruce Kangwa kwa kichwa
Dakika ya 1 Shiboub anamalizia pasi ya Kahata kwa kupiga akiwa nje ya 18 inapaa
UWANJA wa Taifa leo mchezo wa kwanza kati ya Simba na Azam FC umeanza uwanja wa Taifa ambapo kwa sasa ni kipindi cha kwanza.
Hakuna timu iliyoona lango la mpinzani ake mashabiki wamejitokeza kiasi chake kushuhudia pambano hili la kukata na shoka.
Mwamuzi wa kati ni Charlse Mabena, nahodha wa Simba ni Erasto Nyoni na kwa upande wa Azam FC ni Frank Domayo.
kata ngebe.
ReplyDelete