October 18, 2019




FT Sudan 1-2 Cameroon

Dakika ya 93+3 Kaseja analalamika kinomaaa kwa furaha

Dakika ya 90+2 Nondo ananawa mpira karibu na endeo la 18

Zinaongezwa dakika tatu

Dakika ya 90 anazinduka kuendelea na mpambano

Dakika ya 89 Mzamir Yassin anaumia
Dakikaya 89 Nchimbi anaotea

Dakika ya 88 Chilunda anafanya shambulio jepesi
Dakika ya 87 Sudan anafanya bonge moja ya shambulizi linakwenda nje
Dakika ya 86 Kaseja anakimbizwa na mawe na mashabiki wakati anakwenda kuokota mpira
Dakika ya 85 Sudan wanaanzisha mashambulizi kwenda Tanzania
Dakika ya 82 anaingia Sure boy anatoka Domayo

Dakika ya 79 Nchimbi Goooooolllll anaandika bao la pili akimalizia pasi ya dd Chilunda.

Dakika ya 74 Sudan wanapeleka mashambulizi TZ
Dakika ya 73 Gadiel anapelekea mbele mpira, Chilunda anaupoteza
Dakika ya 72 Chilunda anachop mpira unadakwa na mlinda mlango wa Sudan
Dakika ya 70 Sudan wanazamisha bao nyavuni, mwamuzi anaesema ni Offside.
Dakika ya 69 Kimenya, Domay, Mkude, Gadiel, Mzamiru anacheza faulo
Dakika ya 68 Chilunda anampelekea Mzamiru kisha Lyana anapoteza
Dakika ya 67 Sudan wanafanya mabadiliko
Dakika ya 66 Kaseja anaokoa hatari langoni 
Dakika ya 64 Lyanga anaingia kuchukua nafasi ya Miraj

Dakika ya 62 Naldo nje anaingia Chilunda

Dakika ya 60 Kona wanapiga Sudan
Dakika ya 59 Sudan wanapeleka mashambulizi Tanzania
Dakika ya 57 Tanzania wanapata faulo inayopigwa na Kimenya
Dakika ya 54 Gadiel Michael anamtafuta Miraj anapoteza

Dakika ya 49 Nyoni Goaaaaalllll anapiga faulo matata ndani ya nyavu na kusawazisha 
Dakika ya 48 Mohamed Rashid wa Sudan anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Nchimbi
Dakika ya 46 Noni anapiga faulo inapotea
Kipindi cha pili kimeanza

Inaongezwa dakika moja
Dakika ya 45 Nyoni anaslide mbele ya beki akiokoa hatari
Dakika ya 44 Sudan wanatafuta lango la Taifa
Dakika ya 43 Domayo anacheza faulo
Dakika ya 42 Nyoni anaanua hatari
Dakika ya 41 Naldo anatoa pasi kwa Kimenya analazimisha ndani inaiha mapema
Dakika ya 39 Gadiel anamtafuta Nyoni anayelazimisha mpaka kwa NaldoDakika ya 35 Idd Suleiman anacheza faulo.

Dakika ya 30 Sudan inaandika bao la kwanza likifungwa na Amir Dakika ya 29 Sudan wanapata kona baada ya Gadie Michael kutoa nje, Kimenya anabutua bado upo kwenye hatari kuelekea lango la Tz
Dakika ya 28 Nchimbi anapoteza mpira nje ya 18

Dakika ya 27 Miraj anacheza faulo katika kuokoa hatari

Dakika ya 26 Nchimbi anaotea akiwa ndani ya ene la SudanDakika ya 25 Nyoni anaanua hatari ndani ya lango la Stars.

Dakika ya 24 Mzamiru Yasin anaachia mshuti unaopaa angani kidogo karibu na lango la Sudan akimalizia pasi ya Domayo.

Dakika ya 23 Kaseja anaanzisha mashabulizi kuelekea Sudan kwa kumpa Gadiel Michael, Miraj Athuman mlinda mlango anaidaka Dakika ya 22 Miraji Athuman anakosa nafasi ya wazi baada ya kupewa pasi na Salum Kimenya.

Dakika ya 21 Domayo anajaribu kupiga shuti linakuwa ni off target.

Dakika ya 20 pasi ya Domayo inatibuliwa na wachezaji wa Sudan, wanaanzisha mpira langoni kuelekea Tz

Dakika ya 19 Nchimbi anaunawa mpira inakuwa faulo kwenda lango la Tz.

Dakika ya 18 Sudan wanapata kona haizaimatunda

MCHEZO unaoendelea kwa sasa nchini Sudan uwanja wa El Merriekh,Omdurmn ni kipindi cha kwanza huku kukiwa hakuna timu iliyoona lango la mpinzani.

Mchezo huu maalumu kwa ajili ya kufuzu michuano ya CHAN, Stars inatakiwa ishinde mabao 2-0 ili kusonga mbele.

Hii inatokana na kupoteza mchezo wa kwanza uwanja wa Taifa kwa kufungwa bao 1-0.

Mara ya mwisho kushiriki michuano ya Chan kwa Stars ilikuwa ni mwaka 2009 nchini Ivory Coast.

3 COMMENTS:

  1. Leo ditram ataipiga Sudan 3/1 atafanya kama alivyo iliza yanga,subirini tUu

    ReplyDelete
    Replies
    1. nilisema tz haina wachambuzi wa Mpira, yaani aliyokuwa anaongea kabla ya mechi ni tofauti na anayosema sasa, Eti muda huu kawageukia Sudan na kusema hawana rekodi ya kufungwa nyumbani, dakika hizi tushafungwa na home tulishafungwa halafu tujifariji kijinga

      Delete
  2. ila kiukweli unazingua kashinda Tanzania au cameroon? acha uandishi wa kubabaisha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic