October 27, 2019

9 COMMENTS:

  1. Maneno hayo yatakuwa na maana sana kama hamjanunua mechi!!! Vinginevyo timu dhaifu za nje kama za akina UD SONGO NA BURUNDI hatutazifunga kamwe.

    ReplyDelete
  2. Hii ujinga wa kusingizia Simba imenunua mechi ndio utazidi kuididimiza Yebo Yebo.Miaka 2 hamjaifunga Simba hata goli la off side bado mnaropoka eti mmenunuliwa.Nyie mnapofungwa na Ruvu Shooting mmenunuliwa?Kwa sasa hakuna timu ya kuizuia Simba Tanzania nä huo ndio ukweli.

    ReplyDelete
  3. Ndio zao hao .Ngoja Waarabu wawatoe nishai nä timu lenu bovu.Tunangoja visingizio .Au mmeuza mechi kama kawaida yenu.

    ReplyDelete
  4. Yanga mtakaa tu na majungu yenu mnachelewa kwa kuifikiria simba Kutwa kucha

    ReplyDelete
  5. Lazima wanayanga wenzangu tubadilike.Kuisakama Simba hakufanyi timu yetu ucheze vizuri. Tunadai wananumua mechi huku hatuna ushahidi. Kukubali ukweli kwamba tunajenga timu nä Simba ni bora kuliko sisi.

    ReplyDelete
  6. Haya tena waarabu wamenunua mechi au

    ReplyDelete
  7. ukiwa unaujua mpira upati tabu na watu kama nyinyi simba ni wa 16 kwa ubora afrika nyie chura fc na hao wamezenu UD songo na wamezenu wengine Pyramid mpo nafasi ya ngapi? This is Simba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic