Mashabiki wenye akili pungufu wa Bulgaria wamewabagua wachezaji weiss wa kikosi cha England.
Hasira za kipigo cha mabao 6-0, ndizo zilizochangia mashabiki hao kuanza kuonyesha ishara hizo za kibaguzi.
England imeitwanga Bulgaria kwa mabao 6-0 katika mechi ya kuwania kucheza Euro 2020 ambayo inaoneshwa musbahara ndani ya Star Times.
Hata hivyo walianza kuwakebehi wachezaji wa England wakati wa mapumziko, jambo ambalo wachezaji hao walilifikisha kwa waamuzi.
Bulgaria ni kati ya nchi zenye mashabiki mafala wenye tabia za kibaguzi.
Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa), limekuwa likipiga vita tabia hizo za kishenzi.
Ubaguzi unapigwa duniani kote hili halipingip ila naomb mwandish uwe na weledi habari znasonywa na watu wa rika tofaut....neno ufala na baadhi sio taalum ya uandishi
ReplyDeleteWe fredy ni fala vile vile au si ajabu wenzako wanakugonga kalioni.Mbaguzi wa rangi ni zaidi ya shetani vipi unakasirika kwa kutumiwa neno fala juu yao?
ReplyDeleteWale jamaa wapuuzi sana inaonekana walijipanga sio kwenda kuangalia mpira ila kufanya ushenzi ule!! walianza kutoka uwanjani mapema tu kipindi cha kwanza baada ya kutimiza ujinga wao
ReplyDelete