Taarifa za ndani zinasema kuwa Mromania huyo amereja kuchukua nafasi ya Mrundi, Etienne Ndayiragije ambaye inalezwa anaweza akapewa mkataba wa kuinoa Taifa Stars.
Kabla ya kurejea Tanzania, Cioaba aliwahi kuifundisha Azam FC kabla ya kuachwa kisha kurejea kwao Romania.
Inaelezwa Cioaba anaweza akatambulishwa Azam FC muda wowote kuanzia hivi sasa.








0 COMMENTS:
Post a Comment