October 2, 2019


PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba leo amewapa mapumziko wachezaji wake ili kupata muda wa kupumzika na familia.

Simba inajiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kupigwa Octoba 23 uwanja wa Uhuru na utakuwa ni mchezo wao wa tano.

Mpaka sasa Simba inaongoza ligi ikiwa imecheza michezo minne imejikusanyia jumla ya pointi 12 ikiwa ni namba moja kwenye msimamo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic