TANZANIA YATINGA FAINALI CECAFA UGANDA, YAITWANGA SUDAN 2-1, MBAPPE KAMA KAWA
Timu ya Taifa ya Tanzania (U20) imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Sudan (U20) katika mchezo wa nusu fainali #CECAFA (U20) huko Uganda.
Mabao ya Tanzania yamefungwa na Israel Mwenda pamoja na Kelvin John huku la Sudan likiwekwa kimiani na Mohammed Abbas.
Matokeo hayo yanaifanya Tanzania itinge hatua ya fainali na sasa itakuna na mshindi kati ya Kenya dhidi ya Eritrea ambao wanacheza hivi sasa.
0 COMMENTS:
Post a Comment