October 30, 2019


Kikosi cha Simba kimeshindwa kutamba mbele ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara vaada ya kukubali kichapo cha bao 1-0.

Bao pekee la Mwadui limewekwa kimiani na Gerald Mathias mnamo dakika ya 32 kipindi cha pili kwa njia ya kichwa.

Matokeo haya yanaifanya Simba ipoteze kwa mara ya kwanza msimu huu lakini ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi na alama zake 18.

Matokeo kwa ujumla katika Ligi kuu Bara leo haya hapa

FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC (Gerald Mathias 32')

FT: Ruvu Shooting 1-0 KMC (Santos Mazengo 17’) 

FT: Kagera Sugar 2-0 Namungo FC (Frank Ikobela 12’, Yusuphu Mhilu 69’) 

FT: Mtibwa Sugar 2-1 Coastal Union (Dickson Mbekya 20’, Jaffary Kibaya 56’ : Dickson Daud OG) 

FT: Lipuli FC 2-1 Polisi Tanzania (Kenneth Masumbuko 34’, Paul Nonga 74’  : Mohamed Mkopi 73’)

FT: Singida United 1-2 JKT Tanzania (Ramadhan Hashim 55’ : Danny Lyanga 36’, Adam Adam 41’)

11 COMMENTS:

  1. wangefungwa yanga ungeckia washabk wa simba zahera sio kocha, jamaa yenu wa kdevu cheupe a.k.a mzee wa masaptasapta klchomkuta anakjua mwenyewe. ohoo! kufungwa na ruvu mbona leo mumefungwa na mucyemtarajia mikia muache kujmalza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa hiyo kwa akili.zako.zilivyokuwa finyu Aussems unataka kumfananisha na zahera kweli nimeamini mtu akikwambia akili zako kama mshabiki wa yanga pigana

      Delete
  2. Wameacha kununua mechi wakadhani timu yao ina uwezo wa kuifunga Mwadui! Niwaambie hii timu Okwi ndo alikuwa anaibeba! Acheni kununua mechi mtaua timu! Mwambieni Haji rafiki yangu usipandishe brand ya simba kwa kununua mechi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ambae hununui.una rekodi.gani.CAF au ndo mnajielezea tabia zenu nyie ni.wa hapa hapa fc kwa vile mshazoea hizo tabia mnazowasingizia simba

      Delete
  3. nyiev vyura acheni kelele zenu subirini kipigo misri

    ReplyDelete
  4. alyetoa coment ya pl ingawa n smba lakn amesema ukweli kuwa zahera yupo juu kulko ausems mana hata kmataifa bado yupo lakn ngwena yule amepgwa mech ya raund ya kwanza na songo "out" lg kuu kashapgwa kwa hyo papaa ni high than mzee wa masaptasapta hongera mshabk ww wa coment ya pl ingawa unaonekana mshabk maandazi.

    ReplyDelete
  5. kufungwa kwa simba kusiibue mjadala wa Aussens na Zahera, uwezo wa Aussens unaonekana kutokana na fungu kubwa la hela alilowekewa kwa ajili ya usajili sio kama yanga hela zilikuwa kwenye maneno mwisho kocha anaokoteza kina kalengo ambao miez sita hadi sasa hajacheza hata friend match, anaokoteza kina ngasa na kaseke wanaokabia mipira kwa macho. sasa unamtazama Zahera kuwa mbovu kwa kipi? ukitaka kumwona Aussens ni bora mpatie timu hii ya Ynga msimu mmoja tu ndipo uone uzuri wake. timu haina hela inategemea machangizo, unafananisha na timu inayotoa ahadi na kutimiza? ni tofauti sana wadau.

    ReplyDelete
  6. huyo aliesema mimi ni mshabiki maandazi kwanza nafikiri ndo wale wale nnaokwambia ukiambiwa akili zako kama wao pigana Nimemaanisha Patrick Aussems ni bora kuliko zahera na ndo mana anatakiwa na AS vita zahera anatakiwa na nani?

    ReplyDelete
  7. Usifananishe kocha aliyewahi kufika nusu fainali ya michuano ya caf na robo fainali na kocha ambaye cv yake hata aileweki kabla ya kuja yanga huyo zahera ameshawahi kupata mafanikio gani?Kwa nini AS vita wasingemhitaji yeye ambaye ndo ingekuwa rahisi kumpata alafu waje kumtaka kocha wa simba,alafu kocha apimwi kwa thamani ya players alionao anapimwa kwa mbinu ingekuwa hivyo Man city na PSG wasingekuwa wanafukuza makocha au mwangalie Ndayiragije. Kocha wa Simba ni bora sana kimbinu uwezi kumfananisha na zahera hata kgd

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic