UONGOZI SIMBA WATUMA SALAAM ZA POLE YANGA KUFUATIA AJALI YA MASHABIKI WAO Uongozi wa klabu ya Simba umetuma salaam za pole juu ya ajali iliyowapata mashabiki wa timu hiyo wakati wakielekea Mwanza kutazama mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC.
Huu ndo uungwana tukiendelea hivi ipo siku nitaishangilia SIMBA ikicheza kimataifa.
ReplyDeleteSiku zote Simba ni waungwana.
ReplyDelete