October 21, 2019


Beki wa kulia ya Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ sasa yupo tayari kwa kuiwakilisha timu hiyo katika mechi ya kimataifa dhidi ya Pyramids ya Misri.

Boxer a baye alikuwa majeruhi, amesema hivi sasa hali yake inaendelea vizuri na kuna uwezekano akawa sehemu ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids.

“Nipo fiti kwani mazoezi nilishaanza muda, nipo tayari kwa kuitumikia timu yangu kwa nguvu zangu zote kama ilivyokuwa zamani.

“Hata ikitokea kocha akanipatia nafasi ya kucheza dhidi Waarabu nipo tayari,” alisema Boxer ambaye kwa sasa ni mmoja kati ya mabeki wa kulia wanaofanya vizuri hapa nchini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic