November 29, 2019


UNAI Emery aliyekuwa kocha mkuu wa Arsenal amepigwa chini jumla ndani ya kikosi hicho baada ya kudumu nacho kwa muda wa miezi 18 akiwa kazini.

Kocha huyo alibeba mikoba ya Arsene Wenger aliyeamua kukaa pembeni msimu wa 2018 mambo kwakwe yamekuwa magumu zaidi.
Kichapo cha mabao 2-1 akiwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kiliwafanya mabosi wake kuamua kuachana naye jumla kwani hakuwa na matokeo chanya na hajashinda mchezo wowote mwezi Novemba tangu ashinde Oktoba.

2 COMMENTS:

  1. Hakua kocha mzuri kabisa..
    Ata hivyo waispania wengi Ni Kama Julio (waamasishaji2)

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic