November 17, 2019


GARETH Southgate, kocha mkuu wa timu ya taifa ya England amesema kuwa beki wake Joe Gomez atarejea kwenye ubora wake hivi karibuni.
Gomez ambaye ni beki wa kikosi cha Liverpool ana maumivu ya mguu baada ya kugongana na nyota wa Atletico Madrid Kieran Trippier Ijumaa.
Tangu Jumatatu Gomez alikuwa akitikisa vyombo vya habari kutokana na kuzinguana na Raheem Sterling wa Manchester City kwenye mchezo wao wa ligi ambao Liverpool ilishinda kwa mabao 3-1.
"Atarejea kwenye ubora wake kwani hana maumivu makubwa kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa madaktari," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic